Mtobwa: Zawadi ya Ushindi

Mtobwa: Zawadi ya Ushindi

EnglishEbook
East African Educational Publishers
EAN: 9789966565938
Available online
€20.26
Common price €22.52
Discount 10%
pc

Detailed information

Idd Amini, kiongozi dhalimu kutoka nchi ya Uganda, alipoiteka sehemu ya nchi ya Tanzania na kuangamiza mamia ya watu wasiokuwa na hatia, serikali ya Tanzania iliamua kumkomesha kabla hajatekeleza maafa zaidi. Iliwatuma vijana wake wakapambane naye ili kusalimisha nchi yao. Sikamona akiwa kijana barubaru aliukubali mwito wa serikali na kuingia vitani kukabiliana na Idd Amin na kikosi chake. Maisha ya Sikamona yalibadilika kabisa baada ya vita hivi. Hata ingawa walifaulu kumkomesha Idd Amin, Sikamona alibaki na makovu mengi yaliyoiharibu sura yake asijione kastahili kuitwa binadamu tena. Ni yapi yatakayotokea watakapokutana na Rusia? Atapewa eZawadi ya Ushindii?
EAN 9789966565938
ISBN 9966565930
Binding Ebook
Publisher East African Educational Publishers
Publication date January 10, 2023
Pages 90
Language English
Country Uruguay