Zawadi ya Ushindi

Zawadi ya Ushindi

AngličtinaEbook
Mtobwa, R.
East African Educational Publishers
EAN: 9789966565938
Dostupné online
20,26 €
Bežná cena: 22,52 €
Zľava 10 %
ks

Podrobné informácie

Idd Amini, kiongozi dhalimu kutoka nchi ya Uganda, alipoiteka sehemu ya nchi ya Tanzania na kuangamiza mamia ya watu wasiokuwa na hatia, serikali ya Tanzania iliamua kumkomesha kabla hajatekeleza maafa zaidi. Iliwatuma vijana wake wakapambane naye ili kusalimisha nchi yao. Sikamona akiwa kijana barubaru aliukubali mwito wa serikali na kuingia vitani kukabiliana na Idd Amin na kikosi chake. Maisha ya Sikamona yalibadilika kabisa baada ya vita hivi. Hata ingawa walifaulu kumkomesha Idd Amin, Sikamona alibaki na makovu mengi yaliyoiharibu sura yake asijione kastahili kuitwa binadamu tena. Ni yapi yatakayotokea watakapokutana na Rusia? Atapewa ,Zawadi ya Ushindi,?
EAN 9789966565938
ISBN 9966565930
Typ produktu Ebook
Vydavateľ East African Educational Publishers
Dátum vydania 15. mája 1984
Stránky 90
Jazyk English
Krajina Uruguay
Autori Mtobwa, R.